SHILOLE:UCHEBE ANAWIVU SANA/HAKUNA ANAYENIWEZA/SIKUBALI KUONA UCHEBE AKIONEWA/SHISHI ANATUMIA ARV

Wasafi News imepiga story na Shilole na amefunguka kuwa hapendi kuona mumewe uchebe akionewa, hivyo hupenda kumtetea.Pia ameeleza kuwa anaufurahia mwili wake wa sasa jap[okuwa watu wanamponda kuwa amepoteza muonekano wa kisanii.

  • Views:58,818 views
  • Categories: News