RC MWANRI ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YA RAIS MAGUFULI,ALISHANA KEKI NA WAFANAYAKAZI WA BANK.

#CgOnlineTv #RcMwanri #RaisMagufuli
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri leo Tarehe 29 October ameungana na Wafanyakazi wa bank ya NMB kusherehekea kumbukumbu ya Tarehe ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli kwa kula keki na Wafanyakazi na Baadhi ya Wateja wa Bank hiyo kama ishala ya Upendo kwa Rais Magufuli.

  • Views:5,596 views
  • Categories: News