RAIS MAGUFULI AKIPOKEA NDEGE MPYA BOEING 787-8 DREAMLINER

RAIS MAGUFULI AKIPOKEA NDEGE MPYA BOEING 787-8 DREAMLINER

Ndege mpya ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)imewasilia leo jijini Dar es Salaam Tanzania ikitokea Marekani.

Ndege hiyo itapokelewa na wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Hii inakuwa ndege ya 8 kati ya ndege 11 zilizonunuliwa na Serikali kwa lengo la kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kukuza utalii na uchumi.

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
——————————————————————————————————————–
HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list.
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list…
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list…
EXCLUSIVE INTERVIEWS:https://www.youtube.com/playlist?li

  • Views:67,106 views
  • Categories: News