Raila ameapishwa na Wakili, Miguna Miguna

Kiapo alichokula kinara wa NASA Raila Odinga kama rais wa wananchi kilikuwa tofauti kabisa na kiapo cha rais kwa mujibu wa katiba. Hivyo basi licha ya wapambe wake kushabikia hafla ya leo, ni bayana kuwa Odinga hawezi kuyatekeleza majukumu ya rais kama vile kuiendesha serikali, kuwateua mawaziri na hata kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

  • Views:8,689 views
  • Categories: News