Itilima waahidi Mambo Mazuri kwa wananchi.

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt. Dorothy Gwajima amekuwa ya Mafanikia katika Halmashauri ya Itilima Mara baada ya Mganga Mkuu wa Mkoa kuahidi kwamba ufikapo Desemba,30,2019 wataanza kutoa huduma za Afya. Itilima kama zilivyo Halmashuri zingine nchini ilipokea Bilioni 1.5 kwaajili ya ujenzi huo, ambapo hadi siku ya ziara ilikuwa imefikia zaidi ya asilimia 85 ya ujenzi wote.

  • Views:421 views
  • Categories: News