Dkt. Gwajima. Rais kamaliza kazi, sasa Zamu Yetu.

Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Dkt. Dorothy Gwajima amesema, Mhe. Rais John Pombe Magufuli, ambaye toka aingie Madarakani, Ameipa msukumo na kipaumbele cha hali ya juu Afya nchini, hivyo jukumu lililopo sasa nikuhakikisha watu wote ambao wamepewa majukumu huku vituoni, kubadilika kifra. Msikilize hapa #TAMISEMIYAWANANCHI

  • Views:1,447 views
  • Categories: News