Dkt. Gwajima awashukia Wataalam Afya ya Mazingira

Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Dorothy Gwajima awatolea uvivu Mabwana Afya, asema watekeleze majukumu yao wasingoje kusukumwa.

  • Views:782 views
  • Categories: News