BBC Africa Eye: Barabara za Mauti Kenya

Kenya inavyostawi, kumeshuhudiwa ongezeko la watu wengi wanaomiliki na kuendesha magari -Lakini pia kumekuwa na ongezeko la ajali za barabarani na kuna madai ya hongo yanoyoigubika sekta ya usalama wa barabarani Kenya hali inayosababisha ongezeko la vifo.

BBC Africa Eye walichunguza madai ya iwapo mtu anaweza kununua leseni ya udereva bila ya kuwa na ujuzi wa kupeleka gari.

#bbcswhili #bbcafricaeye #kenya

  • Views:4,127 views
  • Categories: News