ALIKIBA AMTUHUSU DIAMOND KUMUIBIA PENSELI YAKE

FAHAMU: Kuelekea siku ya Tamasha la Wasafi Festival 2019 katika jiji la Daresalaam, Msanii Diamond Platnumz ameonesha nia yake ya kutamani kumuona msanii mwenzake Alikiba akitumbuiza kwenye jukwaa hilo siku ya Tarehe 3 mwezi wa 11. Diamond aliyasema hayo wakati yupo kwenye Press na waandishi wa Habari. Lakini mambo hayakwenda kama jinsi Mondi alivyodhani Alikiba alionesha kukasirishwa na kitendo hicho ya Diamond kumtaka atumbuize kwenye tamasha hilo mpka kufikia kupost katika ukurasa wake wa Instagram maneno marefu akimionya Diamond kuwa asimzoee amkome. Tazama hapo kisa chote then drop comment zako hapo chini

  • Views:20,893 views
  • Categories: News