ALICHOKISEMA Elizabeth Michael ' LULU' kwa Irene Uwoya

Irene Uwoya amezindua wa kipindi chake jana Jumamosi Oktoba 26, 2019 walizuiwa kuingia ukumbini hadi uzinduzi huo ulipomaliza saa nane usiku.

Baadhi ya wasanii waliohudhuria uzinduzi huo jana ni Diamond Platnumz aliyeongozana na meneja wake, Babu Tale, Mwana FA, Elizabeth Michael maarufu Lulu, Shilole, Esha Buheti, Steve Nyerere, Duma, Hemed Seleman, Yusufu Mlela, Happiness Magesa na mtangazaji Zamaradi Mketema.

  • Views:32,216 views
  • Categories: News