Tazama Mbunge Msukuma Alivyompa Ushauri kwa Waziri wa Fedha

Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Josephat Kasheku Musukuma, amemshauri Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wa wakati wa kuchangia mpango wa maendeleo ya Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango na bajeti ya Serikali kwa mwaka 2020/2021.