Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt.Dotothy Gwajima aongeza Siku 30, Hospitali za Wilaya ambazo azijafanya hivyo ziwe zimefungua maduka hayo. Naibu Katibu Mkuu yupo katika ziara ya Ufatiliaji na utendaji katika Mkoa wa Mara.