Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt. Dorothy Gwajima, ameziagiza Halmashauri kote nchini kuhakikisha zinaanda kalenda ya utendaji kazi ili iwe rahisi kufanya utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.