RC MAKONDA Amlipua KUBENEA na MNYIKA “Viongozi wenu Hawana Haya wala NIDHAMU”
RC MAKONDA Amlipua KUBENEA na MNYIKA “Wanakaa TWITTER Usiku na Mchana”
“viongozi wenu hawana haya wala nidhamu”
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wananchi wa Mkoa huo kuchagua wenyeviti wa mitaa wanaotambua thamani ya uongozi ili waunganishe nguvu ya kufanya kazi na Rais John Pombe Magufuli.
Akizungumza wakati akikagua eneo lililotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya kujenga Hospitali ya Wilaya ya Ubungo Makonda amewataka wananchi wachague viongozi watakaoweza kuwa wasemaji wao na kwamba wawe na uwezo mzuri wa kufanya kazi wakisaidiana na Rais Pombe Magufuli
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
—————————————————————————————
HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list…
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list…
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list…
EXCLUSIVE INTERVIEW:Shttps://www.youtube.com/playlist?li