Moja kati ya ndoto ya mtoto wa mrembo Iren Uwoya ilikuwa ni kukutana na Mwanamuziki Diamond Platnumz, Kiu yake yakatika baada ya kukutana nae uso kwa uso kwenye uzinduzi wa Reality show ya mama yake. Aonyesha Hisia zake wazi wazi.